vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 421
Yanga wapo sahihi kwani maandili ya mechi ni pesa nyingi isitoshe hao tv wanawapa malipo kiduchu kama kweli mnaipenda yanga nendeni uwanjani mkaishangilie
Mzee Akilimali sio kiongozi wa Yanga ni mwanachama wa kawaidaHuu ni upumbavu sasa (kama ni kweli)
Maana leo nimejiandaa kwelikweli kuangalia mechi.
Ikiwa ndivyo sivyo Mzee Akilimali na wenzie waachie ngazi,tumechoka Club kuendeshwa kizamani.
Najua,lakini unakumbuka kipindi cha mechi ya Yanga vs Al-Ahly Mzee Akilimali alivyoweka ngumu mechi isioneshwe?Mzee Akilimali sio kiongozi wa Yanga ni mwanachama wa kawaida
Mzee Akilimali ni kweli sio kiongozi wa Yanga lakini ana influence kubwa mno kuliko unavyodhani na kuna mengi ambayo ukielezwa kuhusu Akilimali hutaamini.Mzee Akilimali sio kiongozi wa Yanga ni mwanachama wa kawaida
Zaidi ya bored.....Mzee Akilimali ni kweli sio kiongozi wa Yanga lakini ana influence kubwa mno kuliko unavyodhani na kuna mengi ambayo ukielezwa kuhusu Akilimali hutaamini.
Nifah ako bored leo,ha ha ha ha.
Yanga ni primitive balaa
Tunakokwenda itabidi Yanga iwe ya wanadarisalama tu. Tusapoti timu za mijini mwetu.Yanga japo ni mshabiki wao lakin hii tabia sihipendi ata kidogo, wenyewe mechi ikiwa bongo kama ya kimataifa bas haitarushwa na wao ndio wanaweka pingamizi… bas wangekuwa ata wanaongea na warushaji kuwa nje ya mkoa wa Dar na Pwani ndio wapate ili wa hapo wakaangalie uwanjan lakin ata sie huku wa mabondeni jaman…!! Aaaaahhhh