Yanga Kampuni.

Yanga Kampuni.

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,930
Reaction score
2,118
Baada ya mchakato wa Yanga kuwa kampuni kupitishwa na Serikali, sasa timu itakuwa 51% inamilikiwa na wanachama na 49% inamilikiwa na muwekezaji/wawekezaji.
Binafsi ninatarajia kuona yafuatayo;
1. Yanga ikiishi kwenye kivuli cha Simba kwa kufuata nyayo zilezile za Simba walimopita.

2. Thamani ya club ya Yanga kuonekana kwa dau litakalowekwa na Muwekezaji. Tayari tunajua 41% ya Simba ni 20 billion.

3. Hakuna muwekezaji/wawekezaji wenye ubavu wa kuweka zaidi ya 10 billion. I bet. Sana sana GSM wataweka sio zaidi ya 5 billion.

4. Yanga sasa itaenda kutafunwa kisawasawa kwani wawekezaji watataka kurudisha hela yao.

5. Mfumo wa kuwa na Rais wa club utaondoa ujanja ujanja na huenda Yanga ikafanya vizuri kama watachagua mtu sahihi mwenye maono.

6. Yanga nao wataanza mchakato wa kujenga uwanja wao hali itakayoifanya TFF "walale njaa" na kubuni namna mpya ya kunyonya vilabu.

7. Itakuwa mwanzo wa enzi mpya ya soka la Tanzania iliyoanzishwa na Simba.

8.........
 
Yanga asili vs Yanga kampuni.

Enzi hizo miaka ya 2000-2006, kila ukisikiliza kipindi cha michezo ilikuwa lazima usikie mgogoro kati ya makundi hayo mawili.
 
Baada ya mchakato wa Yanga kuwa kampuni kupitishwa na Serikali, sasa timu itakuwa 51% inamilikiwa na wanachama na 49% inamilikiwa na muwekezaji/wawekezaji.
Binafsi ninatarajia kuona yafuatayo;
1. Yanga ikiishi kwenye kivuli cha Simba kwa kufuata nyayo zilezile za Simba walimopita.

2. Thamani ya club ya Yanga kuonekana kwa dau litakalowekwa na Muwekezaji. Tayari tunajua 41% ya Simba ni 20 billion.

3. Hakuna muwekezaji/wawekezaji wenye ubavu wa kuweka zaidi ya 10 billion. I bet. Sana sana GSM wataweka sio zaidi ya 5 billion.

4. Yanga sasa itaenda kutafunwa kisawasawa kwani wawekezaji watataka kurudisha hela yao.

5. Mfumo wa kuwa na Rais wa club utaondoa ujanja ujanja na huenda Yanga ikafanya vizuri kama watachagua mtu sahihi mwenye maono.

6. Yanga nao wataanza mchakato wa kujenga uwanja wao hali itakayoifanya TFF "walale njaa" na kubuni namna mpya ya kunyonya vilabu.

7. Itakuwa mwanzo wa enzi mpya ya soka la Tanzania iliyoanzishwa na Simba.

8.........
Kati ya Yanga na Simba ni nani aliyeanza kuwa na wazo la kampuni tuanzie hapa kwanza
 
Kwenye biashara kama ukiwa na wazo na mwenzako akalitekeleza kabla yako basi wewe sio wa kwanza kuwa na wazo. Maneno kidogo kazi kubwa... Unakuwaje na wazo miaka 10+ kama sio upumbavu
 
Baada ya mchakato wa Yanga kuwa kampuni kupitishwa na Serikali, sasa timu itakuwa 51% inamilikiwa na wanachama na 49% inamilikiwa na muwekezaji/wawekezaji.
Binafsi ninatarajia kuona yafuatayo;
1. Yanga ikiishi kwenye kivuli cha Simba kwa kufuata nyayo zilezile za Simba walimopita.

2. Thamani ya club ya Yanga kuonekana kwa dau litakalowekwa na Muwekezaji. Tayari tunajua 41% ya Simba ni 20 billion.

3. Hakuna muwekezaji/wawekezaji wenye ubavu wa kuweka zaidi ya 10 billion. I bet. Sana sana GSM wataweka sio zaidi ya 5 billion.

4. Yanga sasa itaenda kutafunwa kisawasawa kwani wawekezaji watataka kurudisha hela yao.

5. Mfumo wa kuwa na Rais wa club utaondoa ujanja ujanja na huenda Yanga ikafanya vizuri kama watachagua mtu sahihi mwenye maono.

6. Yanga nao wataanza mchakato wa kujenga uwanja wao hali itakayoifanya TFF "walale njaa" na kubuni namna mpya ya kunyonya vilabu.

7. Itakuwa mwanzo wa enzi mpya ya soka la Tanzania iliyoanzishwa na Simba.

8.........
Huyu ni mojawapo ya wale Rage alitaka kuwaondoa kule Simba ila kutokana na idadi yao kubwa kazi ikamuwia kubwa.
 
Baada ya mchakato wa Yanga kuwa kampuni kupitishwa na Serikali, sasa timu itakuwa 51% inamilikiwa na wanachama na 49% inamilikiwa na muwekezaji/wawekezaji.
Binafsi ninatarajia kuona yafuatayo;
1. Yanga ikiishi kwenye kivuli cha Simba kwa kufuata nyayo zilezile za Simba walimopita.

2. Thamani ya club ya Yanga kuonekana kwa dau litakalowekwa na Muwekezaji. Tayari tunajua 41% ya Simba ni 20 billion.

3. Hakuna muwekezaji/wawekezaji wenye ubavu wa kuweka zaidi ya 10 billion. I bet. Sana sana GSM wataweka sio zaidi ya 5 billion.

4. Yanga sasa itaenda kutafunwa kisawasawa kwani wawekezaji watataka kurudisha hela yao.

5. Mfumo wa kuwa na Rais wa club utaondoa ujanja ujanja na huenda Yanga ikafanya vizuri kama watachagua mtu sahihi mwenye maono.

6. Yanga nao wataanza mchakato wa kujenga uwanja wao hali itakayoifanya TFF "walale njaa" na kubuni namna mpya ya kunyonya vilabu.

7. Itakuwa mwanzo wa enzi mpya ya soka la Tanzania iliyoanzishwa na Simba.

8.........
Enzi za George Mpondela Yanga ilitaka kuwa kampuni. Ila Simba wakapandikiza mamluki wake Yanga ili waharibu mchakato.

Yanga daima huanzisha njia kisha Simba hutembelea nyota ya Yanga
 
Baada ya mchakato wa Yanga kuwa kampuni kupitishwa na Serikali, sasa timu itakuwa 51% inamilikiwa na wanachama na 49% inamilikiwa na muwekezaji/wawekezaji.
Binafsi ninatarajia kuona yafuatayo;
1. Yanga ikiishi kwenye kivuli cha Simba kwa kufuata nyayo zilezile za Simba walimopita.

2. Thamani ya club ya Yanga kuonekana kwa dau litakalowekwa na Muwekezaji. Tayari tunajua 41% ya Simba ni 20 billion.

3. Hakuna muwekezaji/wawekezaji wenye ubavu wa kuweka zaidi ya 10 billion. I bet. Sana sana GSM wataweka sio zaidi ya 5 billion.

4. Yanga sasa itaenda kutafunwa kisawasawa kwani wawekezaji watataka kurudisha hela yao.

5. Mfumo wa kuwa na Rais wa club utaondoa ujanja ujanja na huenda Yanga ikafanya vizuri kama watachagua mtu sahihi mwenye maono.

6. Yanga nao wataanza mchakato wa kujenga uwanja wao hali itakayoifanya TFF "walale njaa" na kubuni namna mpya ya kunyonya vilabu.

7. Itakuwa mwanzo wa enzi mpya ya soka la Tanzania iliyoanzishwa na Simba.

8.........
Nao njia ile ile
 
Back
Top Bottom