mbeyaboyfrancy
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 248
- 91
Azam hamna kituAzam ipo?
Kile kikosi kilichocheza na al ahly ndio kianze leo.Nawatakia kila la kheri Yanga huko Takorada city leo na kama wakifanya haya yafuatayo nina uhakika Yanga itafanikiwa:
Japo nikiri kabisa na najua wengi mnanijua kuwa Mimi ni Simba Sports Club wa KINDAKI NDAKI kabisa ila kama leo Wachezaji wa Yanga watakaza ile kisawa sawa sina wasiwasi kuwa leo Yanga itatushangaza wengi kwa kuibuka na ushindi.
- Wacheze team work muda wote wa mchezo.
- Wachezeshe wingers wenye speed kama Mahadhi na Msuva ili wawachoshe half backs wa Medeama na wasiweze kupanda.
- Obren Chirwa na Donald Ngoma wawe twin strikers leo na Amisi Tambwe " akodoe " kwanza benchini.
- Iwe isiwe lazima leo mwenye timu yake Haruna Fadhil Hazikimana Niyonzima aanze na mbele yake awepo " fundi " mwenzie Thabani Kamusoko kwani mechi ya Dar Kiungo cha Yanga kilikufa " kibudu ".
- Oscar Joshua asianze na ikibidi hata Jezi asivae leo na nafasi yake acheze Mbuyu Twite hasa kwa sifa yake kuu ya kuwa all rounder player na ninaamini ataimudu vilivyo.
- Japo kwa sasa Yanga hawamuamini Nahodha wao Nadir Haroub Cannavaro ila kwa aina ya " shughuli " yake ya KAZI KAZI na ule uhamasishaji wake leo ana umuhimu mno aanze na acheze dakika 90 kama hatopata maumivu yoyote.
- Mabeki wa kati, kushoto na kulia wasisahau muda mwingine kuwachezea hawa Madeama mpira wa Ndondo ili kuwatisha kama ambavyo Kelvin Patrick Yondani alivyokuwa akiwafanyia hapa Dar kwa kuwapiga piga " brush " kila mara Wachezaji wa Medeama hadi wakawa kila wakienda golini kwa Yanga wanamuamkia Shikamoo Kelvin Yondan kisha wanamuachia mpira kwa kumuogopa. Beki unatakiwa " utishe " siyo unacheza tu " kinyoro nyoro ".
Kila la kheri Yanga Football Club.
Wakimataifa bandiaMkia we
AISEE halaf yanga keshapigwa moja daah nasaka link sizipat pressure tupuduh kwa hiyo leo hakuna link yoyote
AISEE halaf yanga keshapigwa moja daah nasaka link sizipat pressure tupu
livescore mkuukama link huzipati.....hilo moja umethibitisha ukweli wake?
AISEE halaf yanga keshapigwa moja daah nasaka link sizipat pressure tupu
HaweziYanga Karudisha kwa Penalti iliyopigwa na Msuva....
Mhmmmmkeshapigwa 2 yanga
hii kitu yako magumashi tu hamna kituMadeama 2: Yanga 1
Tazama hapa:
http://www.abuomarlive.com/madeama-v-young-africans-highlights-african-confederation-cup-26-07-2016/