hii kitu yako magumashi tu hamna kitu
asante mkuu hii ndiyo yenyewe hii
dkk 40 medeama tatu yebo yebo 1Yanga Karudisha kwa Penalti iliyopigwa na Msuva....
aboud wanatangaza 101.7Hamna hata radio inayotangaza
Kwamba domo kubwa .A.k.a kandambili kashawaka 3 mamaaaaeeeeeWapigwe tu mdomo umezidi
Huu mchezo....!
Wanafundishwa namna yakufunga ukipata nafasi.
hapa nyumbani walikosa nafasi za wazi kibao.....ulikuwa upuuzi.
leo wanapewa elimu ya maana yakufungs unapopata nafasi