Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Yanga kesho saa kumi jioni tunakipiga na Wollaita Dicha ya Ethiopia ktk uwanja wa Hawassa City,baada ushindi wa 2-0 katika uwanja wa taifa bila kuwa na wachezaji wetu muhimu Tshishimbi,Chirwa pamoja na Yondani.Lakini magoli toka Raphael Daudi na Emmanuel Martin yalitosha kabisa kuwalewesha Wahabeshi hapo kwa mchina Taifa.
Yanga ikifuzu Confideration cup itajipatia kiasi cha shillingi milioni mia sita,jambo ambalo Yanga inaonyesha wameamua kutia nguvu kwenye confideration cup kuliko ligi kuu ambayo timu inayokuwa bingwa hupata shillingi milioni sabini tu na hivyo msimu huu imeamua kuwaachia Simba iliangalau nawao wapate kitu msimu huu baada ya kukaa miaka sita bila hata kupata kikombe cha chai.
Mechi itakuwa Live Azam Tv kuanzia saa kumi jioni
Daima mbele,Nyuma mwiko