Yanga kiburi kimerudi kwa kasi sana, wanawataka malaika tena

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Kuna shabiki wao anajiita shetani wa yanga amedai malaika waje wavae pensi watafungwa na yanga hii.

Kuna shabiki mwingine akijinadi amesema akisema malaika wake tunawasema wana kufuru kwa hiyo yeye ameomba waje mashetani wapigwe goli.

Hiki kiburi ni cha pesa tu za gsm au nini?
Maana kipa alikuwa anafanya assist tu ili mumfunge

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ko unahisi malaika hawana akili za kujua moment serious na ambazo sio serious, unahisi wanaweza wakaja Live
 
Yanga kwa sasa naifananisha na chelsea au LiverPool
 
Kuna shabiki wao anajiita shetani wa yanga amedai malaika waje wavae pensi watafungwa na yanga hii.

Kuna shabiki mwingine akijinadi amesema akisema malaika wake tunawasema wana kufuru kwa hiyo yeye ameomba waje mashetani wapigwe goli.

Hiki kiburi ni cha pesa tu za gsm au nini?
Maana kipa alikuwa anafanya assist tu ili mumfunge

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Sasa shabiki mwenyewe anajiita shetani unadhani akili zake zipo sawasawa uyo? Lakini pia Camara wenu alimfanyia asisti Max nzengeli mpaka kijili akajiweka kwaiyo kizuri kula na mwenzako sio wewe peke yako!
 
Kuna shabiki wao anajiita shetani wa yanga amedai malaika waje wavae pensi watafungwa na yanga hii.

Kuna shabiki mwingine akijinadi amesema akisema malaika wake tunawasema wana kufuru kwa hiyo yeye ameomba waje mashetani wapigwe goli.

Hiki kiburi ni cha pesa tu za gsm au nini?
Maana kipa alikuwa anafanya assist tu ili mumfunge

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kumbe aliyesema ni shabiki? Mi nilidhani GSM.
 
Back
Top Bottom