Sasa shabiki mwenyewe anajiita shetani unadhani akili zake zipo sawasawa uyo? Lakini pia Camara wenu alimfanyia asisti Max nzengeli mpaka kijili akajiweka kwaiyo kizuri kula na mwenzako sio wewe peke yako!Kuna shabiki wao anajiita shetani wa yanga amedai malaika waje wavae pensi watafungwa na yanga hii.
Kuna shabiki mwingine akijinadi amesema akisema malaika wake tunawasema wana kufuru kwa hiyo yeye ameomba waje mashetani wapigwe goli.
Hiki kiburi ni cha pesa tu za gsm au nini?
Maana kipa alikuwa anafanya assist tu ili mumfunge
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kama wanavyotumia makolo.Bahasha zimerudi kwa kasi
Kumbe aliyesema ni shabiki? Mi nilidhani GSM.Kuna shabiki wao anajiita shetani wa yanga amedai malaika waje wavae pensi watafungwa na yanga hii.
Kuna shabiki mwingine akijinadi amesema akisema malaika wake tunawasema wana kufuru kwa hiyo yeye ameomba waje mashetani wapigwe goli.
Hiki kiburi ni cha pesa tu za gsm au nini?
Maana kipa alikuwa anafanya assist tu ili mumfunge
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
mwanzo ulikuwa unasema ubaya ubweli sasa ni ushetani, tulia dawa ikuingie na tarehe 29 unapigwa na black starsMpira wote ni ushetani! Chukulia poa tu!