[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anh kweli kabisa
Watapata ubingwa huku wamechoka sana [emoji1787]
Tuwape pole eti mkuu wanguHapana mkuu huu ni upumbavu kiwango cha rami,upo kwenye kufunga unampa mtu ambae hayupo sehem nzuri
Kilichofanyia ni kumpambania Maleye dhidi ya mpole. Nimeshangaa sana.Ushindi wa team ni muhimu wao wanampa penalty mayele mimi nimekereka sana
Halafu huyu moloko sasa ajitathmini sana
Manara kazi yake ya andakava anaifanya vizuriMechi ya tatu Sasa point tatu kwetu zimekuwa mtuhan Kama wa physics advance
Na kila timu haitaki kushuka daraja Sasa sjui itakuwaje
Waliosema yanga ipo vizur wajitathmin Sana Tena mno
Kila mwaka tunaanza vizuriii tunamaliza vibaya
Hakika dalili ya mvu n mawingu hata hatujui wapi panapovuja
NasikIa eti Morrison naye anakuja kutuvuruga Zaid hawakumbuki muda na gharama tuliopoteza kwake
Mpigaji penati kila siku anajulikana n shaban djuma Sasa mayele aliendaje pale kupiga penati?
Inaonekana wachezaji wanajali rekodi binafsi badala ya timu Kwanza ?
Ubingwa umewekwa rehani na wao wenyewe Simba wanajua nn ya maana ya ubingwa hawatakubali katu kupoteza mechi hata moja
Na Simba watatumia Kila aina ya fitina tushindwe
Yanga raundi ya pili huwa Kama nyuki wa mashineni kelele nyingii kumbe hang'ati
Timu anajari rekodi za mtu binafsi kuliko timu yenyewe itatuchukua miaka mingi kujielewaKilichofanyia ni kumpambania Maleye dhidi ya mpole. Nimeshangaa sana.
Feisal alikuwa ana nafasi ya kufunga mwenyewe eti anampa pasi Mayele ili afunge yeye. Penati Djuma Shaban kauchukua mpira nikajua anaenda kupiga yeye, nashangaa mpira upo kwa Mayele kile kiliniudhi japokuwa sikujua kama atashinda au atakosa.Timu anajari rekodi za mtu binafsi kuliko timu yenyewe itatuchukua miaka mingi kujielewa
Mayele aling'ang'ania, maana Shaban Djuma hapa chini alikuwa anaenda kuuchukua mpira apige, Mayele akakataa ili awe mfungaji boraMpigaji penati kila siku anajulikana n shaban djuma Sasa mayele aliendaje pale kupiga penati?
Fei Toto ilikuwa afunge yeye lakini akalazimisha kumpa Mayele... ujinga wa kutaka afunge mayele tu ,
akipata majeruhi ya mda mrefu sijui watafanyajeMimi ni Simba damu damu nikiri tu wazi Yanga atakua bingwa huu msimu no matter what.
Ila kinachonipa furaha ni kwamba yanga atakua bingwa kwa utofaut wa points chache tofaut na wao walivyokuwa wanataka ,pia watachelewa kidogo kutangazwa kuwa mabingwa.
Ishu ya pili ambayo naweza sema inawatafuna yanga ni ujinga wa kutaka afunge mayele tu ,jaman yule ni mchezaji na timu ni nembo ,wangapi walipita yanga na wakaiacha?
Yaan mtu amekuja yanga Ana follow buku tano tu now Ana followers kibao huko ig na kwa ujinga wetu sisi watz tunaabudu Sana wachezaji wa nje kuliko hata nembo za vilabu vyetu.
Leo hii furaha ya Wana yanga imebebwa na mayele kias kwamba kila mchezaji anampambania mayele ili wapate kutrend mitandaoni ,huo ni ufala kabisa watani zangu mbadilike kabisa na wachezaji waambiwe kuwa kila mchezaji anapaswa kufunga .
Kwenye mpira kuna mambo mengi, usikate tamaa nafikiri matokeo ya Mtani ndiyo yatuchanganya, ila nafasi ya ubigwa ni kubwa sanaa, ujinga walioufanya wachezaji kuwaona preson ni underdog kwakuwa tulifunga kwao game ya kwanzaMechi ya tatu Sasa point tatu kwetu zimekuwa mtuhan Kama wa physics advance
Na kila timu haitaki kushuka daraja Sasa sjui itakuwaje
Waliosema yanga ipo vizur wajitathmin Sana Tena mno
Kila mwaka tunaanza vizuriii tunamaliza vibaya
Hakika dalili ya mvu n mawingu hata hatujui wapi panapovuja
NasikIa eti Morrison naye anakuja kutuvuruga Zaid hawakumbuki muda na gharama tuliopoteza kwake
Mpigaji penati kila siku anajulikana n shaban djuma Sasa mayele aliendaje pale kupiga penati?
Inaonekana wachezaji wanajali rekodi binafsi badala ya timu Kwanza ?
Ubingwa umewekwa rehani na wao wenyewe Simba wanajua nn ya maana ya ubingwa hawatakubali katu kupoteza mechi hata moja
Na Simba watatumia Kila aina ya fitina tushindwe
Yanga raundi ya pili huwa Kama nyuki wa mashineni kelele nyingii kumbe hang'ati
Haya ndyo maajabu yapo yanga TU timu inampambania mchezaji mmoja aweke rekod binafsi na SI kuipambania timu
Ikumbukwe mayele hakujiamulia kupiga penat ile walikubaliana
Itatuchukua muda kidogo kujua thaman y nembo na s thaman ya mchezaji binafs
Tunakuza brand ya mtu na SI brand ya timu mwishowe yawe ya Morrison tulimkuza akavimba akatupasu katikati had leo makovu tunayo
Au siyoBado mapema jamani msikate tamaa [emoji16]