Yanga kuchabangwa leo

Yanga kuchabangwa leo

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
Jambo lililo wazi ni kwamba muda mfupi ujao Yanga watakiona cha mtema kuni katika uwanja wa Taifa. Mziki wa Simba sasa hivi si mchezo. Hebu angalia ile spidi kali ya forward ya Simba, bila kusahau ujio wa nyota mpya wa soka Hapa Tanzania Mbwana Samatta "Golden Boy Juniour", Yanga lazima wachezee kichapo angalau mbili.
 
Tulia bwana. Mpira utachezwa tutajua huko huko uwanjani!
 
I see, bahati yao! Mpira umeisha Yanga 1 Simba 1
 
Jambo lililo wazi ni kwamba muda mfupi ujao Yanga watakiona cha mtema kuni katika uwanja wa Taifa. Mziki wa Simba sasa hivi si mchezo. Hebu angalia ile spidi kali ya forward ya Simba, bila kusahau ujio wa nyota mpya wa soka Hapa Tanzania Mbwana Samatta "Golden Boy Juniour", Yanga lazima wachezee kichapo angalau mbili.

SHE-MBA bana
Kelele nyiiiiiiiiiingi nje ya uwanja, kama wamemeza Hard Disk Ya 10 Tera Byte yenye nyimbo za Khadija Kopa
Uwanjani wanageuka VILUI-LUI
Kusawazisha bao wameshangiliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Sasa tunasubili mmeze Hard Disk ya 50 TB ya nyimbo za Bongo Fleva mtakapo cheza na TP Mazembe.
Najua mtawafunga TP Mazembe kwao 4 bila kwa midomo
Uwanjani ni kinyume chake
HONGERENI KWA SOKA LENU
 
Back
Top Bottom