Wawekezaji gani? Ninachojua ni mkwamba mchakato wa kampuni bado,nadhani ungekamilika wawekezaji hao kwenye hizo hisa ndio wangekuwa na hizo short and Long plan
Vinginevyo usishangae mfumo wa usajiri unaotumika kwa sababu hawajashift kwenda huko unakotaka kwa 100
Nafikiri tuwape muda kwa kuwa wameanza vizuri na naamini wanajua safari Yao watapitia wapi