Yanga kufungwa Jumamosi na CR Belouzdad

mchawi wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
830
Reaction score
898
Habari ya usiku huu wana JF Hapo hakuna cha zaidi ya kusema kuwa Yanga jumamosi anaenda kulitia albu Taifa la Tanzania.

Sababu ya kwanza Tanzania Hakuna timu ya kuifunga hiyo timu. Timu za Tanzania zinabebwa na Marefa washenzi washenzi Wanao haribu Mpira kwa Mapenzi yao binafsi.

Maoni; TFF toeni adhabu kali kwa marefa wa Tanzania ili Kutengeneza Timu zilizo bora.
 
Wakati unaandika huu uzi wako ulikuwa ndiyo unajiandaa kwenda kuwanga bila shaka.
 
Wewe sio mungu sisi ndio Yanga SC wewe 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…