Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
"CHUKUENI KARATASI NA KALAMU
Njooni mjifunze namna ya kushinda mechi popote, achaneni na Mpira wa kizamani eti Kila mtu ashinde kwake,
Ndani ya msimu mmoja 2022-2023 Yanga wameshinda michezo yao Kwenye ardhi ya mataifa matano tofauti tofauti
1. π§π¨π‘ππ¦ππ [emoji1250]
2. ππ’π‘ππ’ [emoji1078]
3. ππ¨π¦ππ‘π[emoji1221]
4. π‘ππππ₯ππ [emoji1184]
5. πππππ₯ππ[emoji1026]
Hii ndiyo Yanga ya kizazi cha dhahabu, Yanga yakukaa na wajukuu zako unasimlia wanasisimka, Wala hutumii nguvu kujieleza mara uingie Google kugoole 1993 ukakariri Kwanza ndipo uje usimulie za akina abunwasi huko, mara ilikuwa hivi, zikaja zikazungukia kushoto na kulia alaaΓ a!!
Twaa mataji weka rekodi kubwa kubwa usipate tabu kujieleza" @williamnsulwa
#FutbalPlanetUpdates
#TheWalkingMedia
#CTFPM