Ile mimoshiii mchezoooo? Inavuruga akili balaaKuna U-TURN mpaka unajiuliza inawezekanaje?
Imagine kutoka kuwa wa kwanza kuleta kombe nchini mpaka kushinda ugenini. Sijui ni yale mafataki yapo vichwani?
Halafu anawapa wenye akili kubwa kombeYanga anaamua kushinda kokote
Haina maana kama ndoo inakwenda mahali kwingine,performance ilitakiwa ireflect the fateNadhani uliona performance kubwa ya Wananchi.....sema tu figisu nyingi
Ukiona Hadi raisi wa nchi ana wa acknowledge Yanga.....ujue kazi sio ya kitoto
Vipers alikufanyaje unajisahaulisha eti?Ila Kuna viper .....big bullets na horoya..... wabovu watupu [emoji23]
Elimu ya hivi hatutaki kufundishwa kwa kweli.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wameshinda afu hawana furaha
Vipers waliwakanda goli mbili.Unazungumzia friend match
horoya alimtoa asec mimosas aliyefika nusu kwenye kombe lenu la andazi cup,vipers akamtoa mazembe halafu sisi simba tukawagonga wote wawili asec na vipersIla Kuna viper .....big bullets na horoya..... wabovu watupu [emoji23]
Mkuu unaakili balaaHiko ndicho kilichobaki!? Kwa hiyo Simba ajifunze kufungwa hatua ya awali klabu bingwa ili aangukie shirikisho akacheze na KMC na Biashara za Uarabuni!?