Wadau wa soka wanaona jinsi soka linavyonajisiwa na hawa wapenda sifa.
Hata hivyo kipimo kizuri ni mechi za kimataifa.Wana historia ya kuwa bingwa mara nyingi lakini historia yao kimataifa ni mbovu kuliko sifa wanazozibeba hapa nchini.
Kila wakipanga matokeo,wana post matokeo ya 5-1 ambayo nayo yaliwezekana kwa kuwarubuni baadhi ya wachezaji wa Simba na hatimae wakawasajili kwenye timu yao.
Uhuni kama huo,ni hulka ya wasomali wala hatuwezi kushangaa.
Kuna namna mpira unachezwa kama vyama vya siasa vinavyopambania uchaguzi.
Haya mambo yanakuja kwa uwezekano wa kuwepo wanasiasa wanaomiliki ukwasi uliochepushwa kutoka hazina na ukaingozwa kwenye soka ili kulisha viburi vyao.Soka Tanzania sio tu mpira dimbani.
Soka ni uhuni,uchawi,na ibada kwa wenye viburi.
Kuifunga Simba goli 5 -1 ulikuwa kama msingi wa kunyamazisha kelele zote zinazokemea unajisi wa soka nchini.
Watu hao ni watu wa propaganda kupita kiasi.Ila ndio waharibifu namba 1 wa soka letu.
Pesa za kununua dawa zahanati,zinatakatishwa kulipa wachezaji wa nje halafu mnawapa mechi za maigizo.
Inasikitisha sana.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app