Yanga kuitisha kikao chenu kwa nini msiseme wanachama kuwa na hisa sio kujizungusha

Tena hiyo 20B ni miaka mitatu imepita, lakini sasa hivi si rahisi kwa mwekezaji au muungano wa wawekezaji atakayekubali kununua hisa za Yanga za 49% kwa bei hiyo, maana ni hasara kwa wawekezaji
Umetumia data zipi kuthibitisha hio hasara?
 
Umetumia data zipi kuthibitisha hio hasara?
Weka sokoni hisa za Yanga upande wa wawekezaji ndipo utakapojua kuwa mfanyabiashara hana mapenzi linapofika suala la hela
 
Mwaka Jana waliwapa watu kadi walizoziita za kidigitali, Sasa wamekuja na za mabenki tena? Maana kadi zimekuwa kama jezi Kila msimu wanakuja na mpya?
 
Nakazia 📌🔨hiyo namba 5 ndiyo ina majibu yote. Ingekuwa ni mkataba mzuri, waache kuanza na Zanzibar kwanza? Inafikirisha...
 
Weka sokoni hisa za Yanga upande wa wawekezaji ndipo utakapojua kuwa mfanyabiashara hana mapenzi linapofika suala la hela
Okay sasa Mo ana anapata hasara na hataki kutoka ni mapenzi gani hayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…