Yanga kuja na khanga ya 5,mashabiki wake kuvaa khanga ili kusherehekea ushindi

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Kama mnavyojua timu za uswahilini haziishi heka heka.Ushindi iliopata yanga ni wa kihistoria.Hawakuwahi kuifunga Simba Sports club goli nyingi kama hivyo.
Ushindi mkubwa waliishinda Sunderland ndio maana ushindi huu kwao ni tukio la karne.

Wataongozwa kuvaa khanga hizo na Ali kamwe huku wakipepea leso zilizoandikwa 5G.

Tunawatakia kila la heri katika kusherehekea ushindi huo kwa timu kubwa sana Afrika.Hii itawasaidia ninyi kujitambulisha kwa wakubwa wenzetu Afrika na duniani.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Yaaani waleteeee mpaka chupi.... Hakuna kuwapa pumzii Hawa mwamedii fc a.k.a tatu malogo fc!!
 
bado sana hamjasema nyie...hizi 5G zita tayaya mpk mwisho wa msimu shwaini nyie
 
Kunywa maji mengi upunguze maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…