Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kuna watu wana mzaha sana, Simba ilipoenda kuweka kambi Misri, Ashura cheupe akaponda sana, akasema mnapoteza muda, mlienda shopping, wachambuzi wajinga wajinga wakaunga mkono, Leo matunda yameonekana, Simba players are very confident. Wana enjoy game, hawana woga, ghafla De Agosto kapasuka kwao yanakuja maneno timu gan mmecheza nayo, timu ya mchongo, Simba inabebwa Caf, Namungo alimpiga 6 huyo.
Ashura cheupe anazidi kuwatia ujinga pale anapowaambia hata wakifuzu kwa waangola, kwenye ligi ya bongo tarehe 23 wataendeleza kipigo kama kawa, muoneeni huruma injinia, wametumia mabilioni ya shilingi kusajili wachezaji kwa ajili ya michuano ya kimataifa na sio ligi ya ndani, hivi yanga aondoshwe mapema hao akina Aziz Ki watakuwa na faida gani, kucheza na Ihefu?
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app