Yanga kukabidhi TAKUKURU zile sauti na video leo

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
775
Reaction score
1,332
Baada ya mchakato mzima kukamilika sauti na video za waliokuwa wanapanga kuihujumu Yanga kupitia uchaguzi mkuu wa klabu, uongozi wa Yanga leo tarehe 6 June, saa 6 : 00 mchana utawakabidhi ushahidi huo TAKUKURU (Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa) ili hatua stahiki zichukuliwe kwa wahujumu hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…