Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Tumeshaondoka tayari
Waarabu tunawanyoaa Taifa
Mechi ya kwanza kuchezwa kati April 17/18/19 2015 uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
CAF - Competitions - 12th Edition of CAF Confederation Cup - Match Details
Yanga wakiwafunga hao watunisia mimi naacha kazi coca cola
Mbona game zote Yanga anaanzia nyumbani?
Timu yenye ranking ndogo siku zote gemu za mtoano huanzia nyumbani...
Kwaheri mafuriko fc[/QUOTE]Yaani jamaa roho zinawauma miaka 3 bila kuona uwanja nje ya tanzania duhh mpaka huruma.Ya Yanga Tuachie sisi Yanga tutajua la kufanya ,nyie msubiri nafasi ya 3 au 4.yanga oyeeeeeeeeee hiyo Tunisiaaaaaaaaaa.
lete ushahidi wa kauli yako
tunamtoa huyu mwarabu. post hii itakuja kuwa kumbukumbu