Yanga kukutana na E.S Sahel ya Tunisia round of 16

Yanga hii sifa lazima wawapige etoile,passport zinachafukwa mihuri za mikia zipo makabatini
 
Mkuu hivi hawa ndo waliomtapeliga okwi??

Ndiyo ni hao hao.

Nasikia Simba wamejipanga kuwakamata wasitoke Bongo hadi walipe USD 300,000 za uhamisho wa Okwi kama walivyoamriwa na FIFA.
 
Ndiyo ni hao hao.

Nasikia Simba wamejipanga kuwakamata wasitoke Bongo hadi walipe USD 300,000 za uhamisho wa Okwi kama walivyoamriwa na FIFA.

Hiyo nzuri, tena waanze kuwastress tu wakitua airport

BTW kwani FIFA haina meno kuwalazimisha walipe?
 
Wapendwa wangu

Hakokatimu kamepuputika.wachezajiwote mahiri mliowajua. kama yanga wataancha uzandikiwao wanawatoa mngeona mechiyakwanza waangola walowachezea kwahamu

Kingine mjue wachezaji wanafamili nawanajua. kolahatua kunahelayake SASA vioongoozi mkifanyahapo sehemuyA kutolea shidazenu mnapigwa mimba

Labdaniwaambie ilemechi walitokakwapenalti wangeshinda..walihaidiwa ammount MPAKA aftaimu Chekizipo wahusika wakuandikawapo wakapgppa unahisi niño.....
 

andika vizuri basi tuelewe
 

Mkuu bila shaka umeandika huku ukiwa na hangover ya pasaka. Hebu nenda kwa mama muuza kale supu ya kongoro na Maji bardiii then uje urekebishe mwandiko wako!!
 
M
Supuzaminyoonanianataka njoonipe mlemacharari kwamama massawe mwenge
 
RUDINI SHULE MKATAFUTE WALIMUWENU wa CHEKECHEA WAWASAIDIE
 
Ndiyo ni hao hao.

Nasikia Simba wamejipanga kuwakamata wasitoke Bongo hadi walipe USD 300,000 za uhamisho wa Okwi kama walivyoamriwa na FIFA.

Hahaha mbona madola hayo alilipwa Rage!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…