Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nnamashaka na hii skauti ya yanga inayoleta wachezaji kutoka nje ya nchi.
Sio kwa garasa lile la YIKPE
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine nikiona wale viongozi wa Yanga na maamuzi wanayofanya ni kama hawajawahi hata kusoma kabisa shule
Timu za kibongo ubabaishaji mwingiZamani tulikuwa tunamsingizia mwinyi zahera.. yikpe kanunuliwa zahera ameshaondoka