Yanga kumnasa Ndemla soon

ziba

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2016
Posts
474
Reaction score
546
Kamati ya usajili ya yanga ipo kwenye hatua za mwisho kunasa saini ya mchezi toka matopeni ..Demla ambaye anatarajia kutua yanga wakati wowote amesharidhia ofa.
 
watajuta kutaka ligi na yanga maana wanazid kuhororojoka
 
Ndemla namkubali sana maana anajua kupiga mashuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…