Wakimataifa1
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 326
- 100
kinachoongelewa kuwa na 9 kwa yanga na simba inamkosi inaweza kuwa kweli au si kweli lakini inaweza kuwa kweli kwa muona wa watu wengi siku ya simba day no 9 nilimuona kiiza kavaa nawashauri simba yanga hebu muiache