Habari ya town ni kuwa kesho katika mkutano wa Yanga wanachama wana mpango wa kufanya mabadiliko ya kuwa kampuni na kumnyanganya timu mfadhili wao Manji na kumpa timu tajiri mwingine ambaye yupo tayari kununua hisa asilimia 55 za Yanga kwa Shs bilioni 50 uku akihaidi kuwajengea uwanja wa mpira wenye hadhi wa kimataifa, hostel za wachezaji na jengo jipya la klabu iyo.
InogileHabari ya town ni kuwa kesho katika mkutano wa Yanga wanachama wana mpango wa kufanya mabadiliko ya kuwa kampuni na kumnyanganya timu mfadhili wao Manji na kumpa timu tajiri mwingine ambaye yupo tayari kununua hisa asilimia 55 za Yanga kwa Shs bilioni 50 uku akihaidi kuwajengea uwanja wa mpira wenye hadhi wa kimataifa, hostel za wachezaji na jengo jipya la klabu iyo.
Embu nitajie agenda za mkutano km unazijua [emoji6]
MO alishindwa Singida United,African Lyon simba NATO atachemsha.Mashamba ya katani,chai kayashindwa.....presha tu zinawapanda majirani baada ya kusikia "MO"
tulieni,mjiandae kuucheza mziki!
AGENDAEmbu nitajie agenda za mkutano km unazijua [emoji6]
Iyo namba 3 na 4 ndo inagojewa lazima mshikane mashatiAGENDA
1) BARUA YA MAJIBU KUHUSU UWANJA
2) MAANDALIZI LIGI KUU
3) KLABU KUWA KAMPUNI
4) UDHAMINI QUALITY GROUP
5) MAPUNGUFU YA UONGOZI KAMATI YA UTENDAJI NA UONGOZI WA JUU
HIZO NDIYO AGENDA ZA JMOS, YANGA MBELE NYUMA MWIKO TUHUDHURIE DAIMOND JUBILEE WANACHAMA YANGA..
Ukitoka kujua zaidi nenda makao makuu leo kuna Press conference
That is common sense mkuu. Huyo jamaa atakuwa mzushi tuMkutano ni wa ghafla na umeitishwa na mwenyekiti ambae ni manji wala haujaitishwa na wanachama. Ingekua inakula kwa Manji mkutano ungeitishwa kwa shinikizo la wanachama.
Huyo jamaa apewe kwa billion 30 tu. Hizo 20 akanunue Simba iwe academy ya Yanga. Teh teh tehHabari ya town ni kuwa kesho katika mkutano wa Yanga wanachama wana mpango wa kufanya mabadiliko ya kuwa kampuni na kumnyanganya timu mfadhili wao Manji na kumpa timu tajiri mwingine ambaye yupo tayari kununua hisa asilimia 55 za Yanga kwa Shs bilioni 50 uku akihaidi kuwajengea uwanja wa mpira wenye hadhi wa kimataifa, hostel za wachezaji na jengo jipya la klabu iyo.
Manji kuitimua kamati ya utendaji ya Yanga.Embu nitajie agenda za mkutano km unazijua [emoji6]
MO alishindwa Singida United,African Lyon simba NATO atachemsha.Mashamba ya katani,chai kayashindwa
Kama alishindwa timu ndogo ataweza timu kubwa.........wewe kweli bongolala!, yaani unailinganisha Simba na Singida Utd?!
Hiyo no 5 nahisi ndo itatawala mkutano ikiwa ni pamoja na kuwashitaki baadhi ya wajumbe wa kamati tendaji kwa wanachama ili wawafukuze.AGENDA
1) BARUA YA MAJIBU KUHUSU UWANJA
2) MAANDALIZI LIGI KUU
3) KLABU KUWA KAMPUNI
4) UDHAMINI QUALITY GROUP
5) MAPUNGUFU YA UONGOZI KAMATI YA UTENDAJI NA UONGOZI WA JUU
HIZO NDIYO AGENDA ZA JMOS, YANGA MBELE NYUMA MWIKO TUHUDHURIE DAIMOND JUBILEE WANACHAMA YANGA..
Ukitoka kujua zaidi nenda makao makuu leo kuna Press conference