Yanga kundi moja na Etoile du Sahel Kombe la Shirikisho

Hao wote size yetu kabisa, hapa naiona Yanga ikiingia nusu fainali.
Ukiangalia timu zote siyo ngumu na pia zimepita kwa ushindi mwembamba regardless of their historical background.

Yanga ni heri angepangwa na Tp mazembe lkn sio etoile du sahel...anaenda kufa
 
Yanga ni heri angepangwa na Tp mazembe lkn sio etoile du sahel...anaenda kufa
Kila kitu kinawezekana na pia wanachukua washindi wawili kila kundi.
Njia ya kufika nusu fainali naiona kabisa kama Yanga watapambana kwa nguvu zao zote.
 
Naona kelele za Manala na Mulo zitaifanya Simba msimu ujao ijipange vizuri! Hongera yanga, hongera Tanzania. Hongera Mulo kwa kuwaamsha Simba.
 
Sio kweli hatua ya makundi ni robo fainali ambapo timu 2 kila kundi hufuzu nusu then final
 
nme elewa lkn cja elewa
 
Yanga alipigwa mabao mangapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…