Hivi 500x27x2200 utapata 128 tu au wao wanathaminisha $1 na shilingi ngapi za kitanzania...?
Yanga inakabiliwa na faini ya Sh milioni 128 kwa uzembe wa kuchelewa kufanya usajili wake kwenye mtandao wa kimataifa (TMS). Yanga ambayo tayari utetezi wake umetua Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), iwapo utakubaliwa klabu hiyo ya mtaa wa Jangwani italazimika kumlipia kila mchezaji dola za Marekani 500 na klabu hiyo ina wachezaji 27 ambao italazimika kuwalipia dola za Marekani 13500 (sawa na Sh milioni 128).
hakufanya kabisa angefanya hata huo mtihani asingeleta haya mahesabu take hovyo hovyo...We bila Shaka uligonga F ya hesabu.