Yanga kupinga FIFA matokeo ya kufungwa na APR

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2023
Posts
1,483
Reaction score
2,392
Kutokana na klabu ya YANGA kutokukubali kuwa ni Timu ya Kawaida na inafungika Matokeo ya leo ya kufungwa na Klabu ya APR Magoli 3-1 katika Uwanja wa Amaani kwenye NUSU FAINAL ya kwanza na Kutolewa nje ya Mashindano kuna uwezekano mkubwa wa Klabu hiyo kukata rufaa FIFA kupinga Ushindi wa Klabu ya APR.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
punguza bangi
 
Kwa akili zenu za kuvukia Barabara mlidhani yanga aliweka nguvu kwenye mapinduzi? Ile ni Kama mechi za kirafiki tu, timu ambazo zinajua uku kwenye ligi ni maji marefu ndio hizo zimekwenda na full mkoko wa wachezaji wote wa vikosi vya kwanza angalau ziambulie ata kikombe icho Cha kahawa
 
🀣🀣
 
ujue tunaposema makolo ndiyo hawana akili tunamaanisha

Sasa hapa FIFA na mapinduzi wapi na wapi?

Huo uwezekano wewe umeutoa wapi?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
We jitahidi kuficha upumbavu wako, yanga kacheza nusu fainali ipi?
 
Utoto raha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…