kilimbamula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,792 Reaction score 853 Jul 29, 2016 #1 Timu ya Yanga inatarajia kurejea kwa mafungu ili kuepuka aibu ya kupoteza macho huko ugenini. Yanga ilifungwa bao 3 - 1 na timu ya vijana wa Ghana iitwayo Medeama.
Timu ya Yanga inatarajia kurejea kwa mafungu ili kuepuka aibu ya kupoteza macho huko ugenini. Yanga ilifungwa bao 3 - 1 na timu ya vijana wa Ghana iitwayo Medeama.
bampami JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 5,699 Reaction score 4,117 Jul 29, 2016 #2 [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]