kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Katika hali ya kawaida Yanga wamechanganyikiwa kutokana na vipigo 3 mfululizo, wachezaji, viongozi na mashabiki wamepotenza confidence uwanjani.
Ili kuwarejeshea wachezaji morali na kujiamini lazima benchi la ufundi litumie wachezaji wote ambao walikuwa hawapati nafasi huko nyuma (uncommon sense); yaani akina Mkude, Kibwana, Sureboy, Shehani, Nkane, Musonda, Baleke, chama na wengine kutoka timu ya vijana kwenye first eleven mpya, na wale ambao waliokuwa first eleven ya kwanza (common sense) waingie kama sub (wachezaji wa akiba).
Mbinu hii itaamsha morali kwa wachezaji wote kwenye timu kwa wakati mmoja.
Yanga imetoa wachezaji wengi mno kwenye timu za mataifa yao, na kuyawezesha mataifa yao (Tanzania, Uganda, Bukina Faso, Mali, Zambia) kufuzu kwenda Morocco.
Walitumia nguvu nyingi sana kufanikisha jambo hilo. Wana fatigue ya muda tu. Mbinu hii itasaidia kuwapunzisha na kuwarudishia wachezaji hamu ya kucheza mpira.