mimi ni fan wa simba,ila kamwe sitopenda kuiona yanga ikishuka daraja
kwa vile leo tenga ni memba wa yanga..Yanga haiwezi kushuka daraja.
Wacheni mentality za ajabu, kwa nini isishuke daraja??? Ni vizuri ishuke ili ieleweke kuwa mpira si simba na yanga tu.