Yanga kutangaza ubingwa mapemaa

Kwa kuhonga tu hongereni kwa ubingwa...
Siku zote mtu maskini humtakia mabaya mtu tajiri,
Hii ni sawa kwa mchangani fc (simba) wanavyokesha kila leo kuiombea timu ya kimataifa yanga afrika ifanye vibaya.
 
Manji anatafuta ushindi kwa namna yeyote Ili tu wanachama wampende,ndo maana mkikutana na timu za maana mnachezea nakoz..
ndo kilichobak hamna cha kusema sasa,mmefulia mbaya mnabak kujifarij kuwa mnahongwa,hata urafik wenu ushaingia mashaka maana mng'ang'ania nafasi moja wakat ninyi kulwa na doto
 
Yanga ni lazima afanye hivyo kwa sababu kama timu kubwa na mwakilishi wa taifa kwenye mechi kubwa za kimataifa na balozi pekee wa nchi kimataifa kwenye michezo ana mambo mengi na makubwa ya kushughulikia kuliko hii ligi nyepesi.
 
Haya sasa jana wajeshi wamepigwa mkono. Semeni wamehongwa sh ngapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…