Yanga kutotumia dressing room leo

NAJYUZ

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2021
Posts
1,981
Reaction score
3,475
[emoji599] BREAKING NEWS:
Taarifa zinaeleza kuwa klabu ya Yanga haita tumia dressing room za uwanja wa Mkapa baada ya kuikuta kwenye hali mbaya, ripoti zimefika kwa mratibu wa mchezo (coordinator) ambae mpaka sasa ameidhinisha klabu hiyo kutotumia vyumba hivyo. Taarifa zaid itafuata

Source; George JoB
 
Nani anahusika na maandalizi ya uwanja ikiwemo hivyo vyumba?
 
Hahahahaha wanakimbia ile 4-4-2 ?
 
wamepulizia sumu
 
Update;

Yanga yapewa eneo lingine kwaajil ya kubadili baada ya dressing room rasmi kuwa kwenye hali ambayo si nzuri kwa matumizi (hewa nzito).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…