Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
maamuzi ni yao,waende uwanjani wakakabidhi kombe kwa yanga,au wasitokee kanuni zikabidhi kombe kwa yanga. Chaguo ni moja japokuwa kichwa ni chako usuke au unyoe.Hao waamzi huenda wakaishia kula posho za bure endapo Simba hawataenda uwanjani
Sasa……..ile hela aliyopewa yule refa mzawa, itakuwaje?Utopolo wao ni kulalamika tu
Mleteni huyo Mpanzu wenu, hata mwamuzi akiwa Mangungu TUTACHEZA na tutawafungaUtopolo wao ni kulalamika tu