Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Wana mafanikio ya kukata rufaa.Mikia mna mafanikio gani?
simba amechukua Mara ngapi na anamafanikio gani?Yanga ni klabu kongwe katika Tanzania.Imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Tanzania Kwa mara 25. Pamoja Na kuwa klabu kongwe lakini haina Rekodi ya kujivunia kimataifa zaidi ta kushuriki tu Ni aibu Kwa Klabu kama Yanga.Tp Mazembe imeundwa hivi karibuni lakini Mafanikio yake Makubwa imecheza Fainali ya kombe la Klabu bingwa la Dunia.
Yanga ni klabu kongwe katika Tanzania.Imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Tanzania Kwa mara 25. Pamoja Na kuwa klabu kongwe lakini haina Rekodi ya kujivunia kimataifa zaidi ta kushuriki tu Ni aibu Kwa Klabu kama Yanga.Tp Mazembe imeundwa hivi karibuni lakini Mafanikio yake Makubwa imecheza Fainali ya kombe la Klabu bingwa la Dunia.
Kuoa mke ni mpaka aingie ndani. Kuposa sio kuoa!Simba walifika fainali ya kombe la CUF leo linaitwa SHIRIKISHO, hiyo ni rekodi ya kujivunia.
Mzungumzie kombe la CAF mlilochukua siyo issue za kufika robo, nusu au fainali yenyewe.Nyie Yanga mlifika hatua gani? Mambo ya Morogoro sijui safari yanaingiaje? Acheni uswahili Yebo yebo wakubwa.
CUF hii hii ya professor?Simba walifika fainali ya kombe la CUF leo linaitwa SHIRIKISHO, hiyo ni rekodi ya kujivunia.