πππ hivyo umeshanitoa kwenye list ya watu wajanja eee?Nilikuwa nakuona bonge la mjanja... kumbe na wewe chura???
Ngoja tumpe mda unai emery though siku hizi na mmaindi sana anavyo muweka bench king of the best melody ozil mustafi;Jana ndotoni niliota nimehamia yanga mtani nililia sana hata nilivyozinduka niliendelea kulia.Ooh. Ahsante kwa kuniweka sawa Mtani.
Duuh! Kumbe Simba inakufariji machungu ya EPL. Si uhame tu huko Arsenal unafanya nini? [emoji12][emoji12]
πππ Na hapa ingekuwa ndio heading kwenye gazeti lingeuzika sana leo.Anakijua na anakiwaza, ila ukumbuke kazi yake kubwa ni kutufurahisha mashabiki wa timu. Na bila kuitaja Yanga huwezi kutufurahisha.
Yeye unafanya kuongea, kuwaza anawaachia ninyi.
Ngoja tumpe mda unai emery though siku hizi na mmaindi sana anavyo muweka bench king of the best melody ozil mustafi;Jana ndotoni niliota nimehamia yanga mtani nililia sana hata nilivyozinduka niliendelea kulia.
πππ Na hapa ingekuwa ndio heading kwenye gazeti lingeuzika sana leo.
Ngoja tumpe mda unai emery though siku hizi na mmaindi sana anavyo muweka bench king of the best melody ozil mustafi;Jana ndotoni niliota nimehamia yanga mtani nililia sana hata nilivyozinduka niliendelea kulia.
πππ hivyo umeshanitoa kwenye list ya watu wajanja eee?
Huko Churani ndio moyo wangu umefika.
Yah. Hatuna pa kuenda Mtani. Na ndio maana watani wajadi tupo wawili tu.Kabisa Mtani, maana ukisoma vichwa vya habari za Yanga na Simba ni burudani sana.
Twende wapi sasa na hapa ndo home. Lazima tuwe wazalendo.
Kule ulaya na miaka 14 sija nyanyua kwapa mtani sasa ukijumlisha na hii miaka 10 ya manara ntakuwa mgeni wa nani!!! Acha nibaki nyumbani mungu aipushilie mbali ndoto.Umenifanya nicheke ulilia nini sasa badala ushangilie umekuwa mmoja kati ya Mashabiki wa timu ya wananchi.
Hahahaaa. Ikiwa hivyo unaachana na Ushabiki wa mpira wa miguu unahamia kwenye kitu ingine tu.Kule ulaya na miaka 14 sija nyanyua kwapa mtani sasa ukijumlisha na hii miaka 10 ya manara ntakuwa mgeni wa nani!!! Acha nibaki nyumbani mungu aipushilie mbali ndoto.
yeah top 4, tukikomaa twaweza tusua nachoshukuru huyu mhispaniora si mbahili mfukoni kama professor wenger. babu alinikondesha sanaMkikomaa top 4 iko open, na mkiingia top 4 lazima usajili ufanyike.
yeah top 4, tukikomaa twaweza tusua nachoshukuru huyu mhispaniora si mbahili mfukoni kama professor wenger. babu alinikondesha sana
Kesho ngojea nikapime kilo zangu kwanza mtani maana tokea mechi na waarabu ni ushindi tuHahahaaa. Ikiwa hivyo unaachana na Ushabiki wa mpira wa miguu unahamia kwenye kitu ingine tu.
Inawezekana ikawa hivyo maana TFF ni yao, hela za kununua wanazo ila anachosahau ni kuwa Yanga ni wabishi na kama msemo wao unavyojieleza.........kurudi nyuma ni mwiko.Hayo ni maneno ya Haji Manara
YANGA KUUKOSA UBINGWA WA LIGI KUU BARA KWA MISIMU 10 IJAYO - SALEH JEMBE
Kroenke boss wa arsenal ni bahili sana alafu na kibaya sio mtu wa michezo, mtu mweusi alhaji dangote kila siku anaitaka arsenal sema wanambania sababu ya rangi naamini tungefika nae mbali, maana ni shabiki wa arsenal na huwa analaumu sana timu inavyoendeshwa kizamani mpira wa sasa ni pesaShida iko kwa matajiri bro, wewe subiri utaona watakavyomzingua.
πππ Manara atasubiri sana, anaota mchana kweupe huku anaangalia mechiHayo ni maneno ya Haji Manara
YANGA KUUKOSA UBINGWA WA LIGI KUU BARA KWA MISIMU 10 IJAYO - SALEH JEMBE
Duuh! Kila la kheri Mtani hivyo wahisi zitakuwa zimeongezeka eee?Kesho ngojea nikapime kilo zangu kwanza mtani maana tokea mechi na waarabu ni ushindi tu
mtani acha tu zitakuwa zimeongezeka!!! Arsenal ilipunguza mwili wangu.alafu ma uncle zangu mtani huwa hawafumbi jicho mmoja kweli, au mama huwa una kuwa mbogoDuuh! Kila la kheri Mtani hivyo wahisi zitakuwa zimeongezeka eee?