Yanga kuvaa nembo ya mdhamini sio haramu

Kiongozi ulichokisema siyokweli?Wakati EPL ikidhaminiwa na Backlays' mdhani aliweka nembo yake kwenye jezi zote za timu za Premier.. Nembo ilikua kwenye bega lakushoto!hivyo kusema Barclays hakuweka nembo yake kwenye jezi sikweli!
Agreed!
 
Unakuta shabiki LA Yanga kindakindaki linapinga logo tu ya rangi Nyekundu halafu unalikuta Kibanda umiza liko mstari wa mbele kelele kama zote limevaa jezi Nyekundu ya Man Utd au Arsenal!!!!!
...au Liverpool
 
Dp yako pia ni nyekundu,acheni ushamba nyie kwasukwasu
Karia ataiharibu TFF, mwaka jana Simba aliwapa miezi 2 wajiandae SA, lakini Yanga wakaomba waahirishiwe mechi dhidi ya Ruvu shooting siku 2 akagoma. Sasa Vodacom na Yanga wangekaa wakapatana kama mwaka jana, yeye anachochea vurugu. Mpira asiongoze kiupenzi wake wa Mikia fc.
 
Huyo makamu mwenyekiti wenu mbona nae alikuwa pale tff na kina malinzi mmesahau walichokuwa wanatufanyia simba...malipo ni hapahapa duniani,tulieni dawa iingie vizuri
 
:
Ulaya hawana upumbavu wa kuweka nembo ya mdhamini wa ligi kwenye jezi za timu. Barclays Bank haikuwa na na nembo yake kwenye jezi za timu.
Kila timu ina mdhamini wake Wa jezi. Akina Adidas, Puma etc.
ficha ushamba kila timu ona nembo kwenye tshirt mkonononi na bukuta kanunue utaona ulaya hakuna ujinga wa rangi sasa kila mtu anatumia mfano laliga stander ipo epl wana barclay head of lion ipo uefa ipo carabao ipo n.k
 
Kule kwa Jiweni ushamba ni jadi yetu
 
Mkuu ulichoandika hapa si kweli. Wadhamini mbali mbali Ulaya nembo zao ziko kwenye timu mbali mbali za ligi wanazozidhamini. Na wengine hudhamini timu tu.

Ulaya hawana upumbavu wa kuweka nembo ya mdhamini wa ligi kwenye jezi za timu. Barclays Bank haikuwa na na nembo yake kwenye jezi za timu.
Kila timu ina mdhamini wake Wa jezi. Akina Adidas, Puma etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…