Yanga kuwakosa nyota wake wawili dhidi ya Tanzania Prisons Dec-03.2018

Mayala masuka

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
449
Reaction score
795
Sintofahamu yaendelea kuikumba Yanga FC, Kakolanya na Yondani hawatacheza kwenye mechi ya leo saa kumi dhidi ya Tanzania Prisons

Yanga yenye alama 35 ikiwa na michezo 13 inaendelea kuwa kinara wa ligi

MY TAKE; kwa nini uongozi usituweke wazi, tupime endapo wachezaji ndiyo wanatumika kuihujumu timu au la timu yenyewe ndiyo inayowahujumu, wachezaji hao.?

Anyway naiombea leo ushindi yanga, mbele ya maafande wa magereza.
 
Walipwe mishahara yao hakuna namna

Kakolanya anadai mshahara wa miezi minne, bakuli wanapitisha afu wachezaji hawalipwi si ufala huu

Afu eti nimesikia walikodi ndege kuja mbeya alafu wanashindwa kulipa mishahara wachezaji wakati wanaela hadi za kukodia ndege
 
Sintofahamu yaendelea kuikumba Yanga FC, Kakolanya na Yondani hawatacheza kwenye mechi ya leo saa kumi dhidi ya Tanzania Prisons

Yanga yenye alama 35 ikiwa na michezo 13 inaendelea kuwa kinara wa ligi

MY TAKE; kwa nini uongozi usituweke wazi, tupime endapo wachezaji ndiyo wanatumika kuihujumu timu au la timu yenyewe ndiyo inayowahujumu, wachezaji hao.?

Anyway naiombea leo ushindi yanga, mbele ya maafande wa magereza.
 
Kobello una uhakika mikataba hailipi, take imagine kama mkataba na yanga haulipi je alliance fc na biashara mara fc itakuwaje?
 
Kakolanya inasemekana anaenda Simba kuchoma mahindi, acha tu aende huko ndo utakuwa mwisho wake
 
Tena yawezekana wenzao wanavumilia kwa kupata posho lkn wao hawawezi waendelee kukataa hvyo hvyo
 
tff sawa wametoa taarifa hiyo,
lakin ukweli unaanziaga kwenye tetesi
 
Kabwili atadaka..hata Iker Casillas aliaminiwa Madrid akiwa barobaro 19 yrs
 
Mpira wa Tanzania ni vichekesho. Sasa kwanini tusifungwe na Lesotho au Swaziland au Cape Verde. Timu kongwe na kubwa kuliko zote hapa Tanzania inashindwa Kulipa mishahara na ela ya us ajili wachezaji wake Karne hii ya 21???Kwahiyo itashindwa kupanga program za kimaendeleo.Tanzania iachane na mpira iende kwenye bongo fleva na bongo muvi. Ukisikia hizi Habari inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…