Yanga kuweni makini , mlikoenda Taifa Stars ilitandikwa 7 - 0

Yanga kuweni makini , mlikoenda Taifa Stars ilitandikwa 7 - 0

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Badala ya kulilia point ambazo haziwahusu , zile point halali walizopewa wenzenu wa SIMBA SPORTS CLUB (Mnyama mkali ), chezeni mpira na akili yenu iwe kwenye game yenu tu .

Hilo si eneo zuri kwa mstakabali wa wanasoka wanaotokea Tanzania , vinginevyo mtapigwa kipigo cha Mbwa Mwizi ! Rudisheni kumbukumbu nyuma .

.....................................................

Updates - Yanga imekufa kiume baada ya kufungwa goli 4 tu .
 
Adui muombee elnino
Huna roho mbaya hata kidogo, umetahadharisha mapema, hangaikeni timu yenu kule Taifa stars ilivufngwa saba, sione kama ni kosa, hawakuona ushauri mzuri wamepigwa 4G. wanakuona eti unaroho mbaya, mwee.
 
Back
Top Bottom