Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Algeria walikuwa na wachezaji professional ,hawa Algiers wa kawaida mnoTuendelee kusubiri.
Adui muombee elninoEndelea kufuga roho mbaya
Dsm , Taifa stars 1 - 1 AlgeriaAlgeria walikuwa na wachezaji professional ,hawa Algiers wa kawaida mno
maombi ya hivyo yanakausha koo tu hayafiki kokoteAdui muombee elnino
Mkuu kamati ya saa 72 imesema itatolea ufafanuzi siku ya J3 baada ya kupokea ripoti ya kamisaa bwana Manara kuhusu wachezaji wa toto wenye kadi za brown zinazidi 3Matokeo ya simba na toto yapoje wadau
Hata kama adui yako chura????Adui muombee elnino
Simba siku hizi wamehamia mezani, mpira wa uwanjani ubingwa watausikia redioni tu.Matokeo ya simba na toto yapoje wadau
Vipi matokeo mkuu ?maombi ya hivyo yanakausha koo tu hayafiki kokote
4 - 0Vipi matokeo mkuu ?
Wamekufa kiume , 4 tu !4 - 0
Huna roho mbaya hata kidogo, umetahadharisha mapema, hangaikeni timu yenu kule Taifa stars ilivufngwa saba, sione kama ni kosa, hawakuona ushauri mzuri wamepigwa 4G. wanakuona eti unaroho mbaya, mwee.Adui muombee elnino