Yanga kwanza mtu baadae

Kukata tamaa kwa lipi. Ya sasa yatapita. Tushukuru kuchukua ndoo mara tatu mfulilizo. Mwakani tutarudi kivingine. Naamini Hatuwezi kukaa nyikani miaka mitano.
 
Kukata tamaa kwa lipi. Ya sasa yatapita. Tushukuru kuchukua ndoo mara tatu mfulilizo. Mwakani tutarudi kivingine. Naamini Hatuwezi kukaa nyikani miaka mitano.
Watu kama nyie mimi nawapa big up, tumeteleza, kamwe tusikubali kuanguka, Shime tusonge mbele. Mbona watakimbia hawa Mikia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…