Yanga leo mmeuza mechi, kwanini mjifunge goli?

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Huwa mnapenda kutoa visingizio kila mkicheza. Sasa leo mtuambie kwanini mmefunga magoli yote mawili na mkahesabiwa mna goli moja?

Mmehongwa nyie leo. Haiwezekani kila siku wahongwe marefa tu.

Yanga mmekwama wapi hadi kuuza mechi wakati kama huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Refa ndo alikuwa amehongwa hadi akalikubali goli la offside la Lamine Moro.Yaani Lamine Moro alikuwa offside kabisa. πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…