Yanga leo tuwaangalie simba tutajifunza kitu

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Habari ndugu zangu,

Leo kama ilivokawaida mzunguko wa nne wa ligi unaendelea kurindima katika viwanja tofauti, kubwa zaidi mechi yenye attention kubwa ni kati ya simba na Gwambina. Mimi kama mshabiki wa Yanga ambaye tangia ligi inaanza ni mmoja ya watu ambao hatujaridhishwa na performance ya timu yetu ukilinganisha na wapinzani wetu.

Sasa imefika wakati tuache ushabiki maandazi na tuweke aibu pembeni sasa tuangalie wenzetu wanavyocheza ili tuweze kujifunza na kuangalia sehemu ambayo tunakosea, hii itaweza kuimprove timu yetu technically mapema kabla mizunguko haijafika mbali.

Wapendwa mpira ni urafiki wala sio uadui penye kujifunza tujifunze mwisho wa siku tunaoumia sisi. Hongereni wapinzani wetu tuna cha kujifunza kutoka kwenu na leo pia tutakuwa kideoni kutazama natumai kuna vitu vipya mtatuletea.

AHSANTENI
 
Safi sana, ww ni mwananchi unaejielewa. Nawakemea wote watakaokuita Utopolo.
 
Tako moko fc.
 
Ni kweli tutajifunza vitu vingi tu
 
Uto kama uto wanalakujifunza kwenye mechi za Simba Taifa kubwa.
 
Best attacking style from simba sports club
 
Best pressing from simba midfielders
 
Right movement's by simba back 4
 
Tutawaangalia kwenye mechi za kimataifa hasa kuangalia vile mtu anafungwa tano tano, hii mechi na Gwambina haitakuwa na mengi ya kujifunza.
 
Tutawaangalia kwenye mechi za kimataifa hasa kuangalia vile mtu anafungwa tano tano, hii mechi na Gwambina haitakuwa na mengi ya kujifunza.
Kimataifa yanga hatupo tujifunzie nyumbani hapahapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…