Yanga leo wanashinda

Yanga leo wanashinda

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kila nikicheki kwenye ndarubini yangu naona yanga leo wakishinda zaidi ya goli moja

Ila najiuliza sijui itakuwaje wakienda kule?
 
Kwa uchezaji huu bila mipango madhubuti, kwa mpira huu wakutegemea mpaka timu adui afanye mistake, yanga either watoe daraw at goli moja. Mziki mzito kule Tunisia
 
Back
Top Bottom