Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
MALIZANA NAO MAPEMA
Ili uwafunge Yanga wafunge mabao zaidi ya moja kipindi cha kwanza, ili wakirudi wawe na mlima wa kusawazisha na kutafuta ushindi...yaan MALIZANA NAO MAPEMA.
Half time talk Yanga wanajua namna ya kubadili timu, wanarudi kitofauti sana.
Kama ni kupoteza, siku yao ilikuwa leo.. Singida walijua namna ya kuwatoa mchezoni..mbinu ni moja tu, kuwa aggressive zaidi yao, gonga buti, fika sana mguuni..yote yalikuwa mema, lakini nani wa kufunga??
Hapo ndipo palipoleta utofauti wa mchezo.
Kapita Simba kapigwa, akaja Coastal Union kakalia, na Singida leo ndio kama ilivyokuwa..next stop ni Azam FC...wataweza kweli??Sio rahisi kama inavyodhaniwa.
Kuna kitu cha kuogofya kuhusu Yanga hii ambayo wengi wanadhani ni kama imeshuka kiwango...hadi sasa michezo nane hawajaruhusu bao..WE HUOGOPI?
Nafikiri msimu huu Yanga msisitizo mkubwa wasiruhusu bao, kwa sababu wana wachezaji wenye uwezo binafsi wa kubadili matokeo muda wowote ule, so, wasiporuhusu bao maana yake watashinda mechi kwa individual brilliance kama wapinzani wamekaba njia, ndicho kilichotokea.
Tunawasubiri Azam kama watakuwa na jipya, lakini wakiingia kama walivyoingia fainali ya ngao basi zile dozi zitaanzia siku hiyo...yaan kiufupi Azam wakubali kuingia ki-underdog.
Tusidanganyane, Yanga hii bado ya moto