FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,600 Reaction score 10,760 Oct 7, 2024 #1 Yanga mjiandae sana kupimwa umri na Kipre kijana kashakuwa na roho ya kiarabu
Yesu Anakuja JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 12,675 Reaction score 25,924 Oct 7, 2024 #2 FK21 said: Yanga mjiandae sana kupimwa umri na kipre kijana kashakuwa na roho ya kiarabu Click to expand... kwenye kundi lao yanga ndio boss. mtelemko.
FK21 said: Yanga mjiandae sana kupimwa umri na kipre kijana kashakuwa na roho ya kiarabu Click to expand... kwenye kundi lao yanga ndio boss. mtelemko.
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Oct 7, 2024 #3 Wenzetu hao akina Tatu Mwakarobo washafuzu, ndio maana Magori kasema msimu huu lazima waingie fainali ya shirikisho tunawatizama huku JF ikitunza risiti.
Wenzetu hao akina Tatu Mwakarobo washafuzu, ndio maana Magori kasema msimu huu lazima waingie fainali ya shirikisho tunawatizama huku JF ikitunza risiti.