Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 23,566 Reaction score 24,891 Apr 17, 2015 #1 Etoile du Sahel ina mshambuliaji hatari sana ambaye ni raia wa Algeria na ni mshambuliaji pia wa timu ya taifa ya Algeria. Jamaa anatupia kambani kama hana akili, na mwaka jana alikuwa mfungaji bora wa ligi ya Tunisia. Mwenye macho haambiwi ona
Etoile du Sahel ina mshambuliaji hatari sana ambaye ni raia wa Algeria na ni mshambuliaji pia wa timu ya taifa ya Algeria. Jamaa anatupia kambani kama hana akili, na mwaka jana alikuwa mfungaji bora wa ligi ya Tunisia. Mwenye macho haambiwi ona