Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Kosa la mtu mmoja hali justify la mwingine wewe uibe upelekwe mahakamani utete eti mbona Fulani nae aliiba!? Huu ukimaitaifa mnao jipambanua nao ni upi Kama Hata kanuni rahisi tuu hamjui?Mbona Ajib alichagua mechi....upuuzi mtupu
Kosa la mtu mmoja hali justify la mwingine wewe uibe upelekwe mahakamani utete eti mbona Fulani nae aliiba!? Huu ukimaitaifa mnao jipambanua nao ni upi Kama Hata kanuni rahisi tuu hamjui?
Umeulizwa dead questionKuna sheria za Simba na Kagera? Wanaofanya maamuzi si ni kamati ileile?