Yanga mkimaliza kusajili jengeni uwanja wa mazoezi

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,711
Reaction score
3,279
Habari wakuu

Nimemuona yule Mchezaji mpya wa Yanga kutoka Angola kisaikolojia hajapenda mazingira ya uwanja wa mazoezi alokutana nao baada ya kufika mazoezini
Na kwa hili yanga wasipolichukulia hatua haraka kila msimu watakua wanakimbiwa na wachezaji wao wanaojielewa kwenda upande wa pili kwani haya sio mapenzi kusema atavumilia.
Nchi kama Angola ile ni ulaya ndogo so mnapowaleta wachezaji na mapokezi mnayowapa wanataraji watakuta mazingira kama mnavoonekana.
 
Umesema kweli kabisa
 
Angola ni Ulaya ndogo?
Mbumbumbu hamna tiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…