kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Hii ni siri ambayo watu wengi watakataa nafikiri kwasababu ya imani zao tofauti
Ila huu ndo ukweli halisi kabisa
Yanga mkitaka kufika mbali kwenye michuano ya kimataifa fanyeni hivi.
Wekeni timu yenu kuwa karibu saana na nyumba za ibada za Wakristo.
Yaani nina maana mkitaka kucheza mechi yeyote ya kimaifa pelekeni wachezaji wenu kwenye nyumba za ibada za Wakristo.
Ni wape tu siri kidogo Ukristo pamoja na bangi za wachungaji fulani Ukristo ni imani moja yenye nguvu nyingi saana za kutawala kumiliki na kushinda
Mazembe 2010-2016 wachezaji wao walikuwa wanafanya wakitaka kucheza mechi zao wote walikuwa wana kwenda kanisani sio Mkristo sio mwislamu wote walikuwa wana kwenda kanisani kuomba na kuombewa tabia hiyo waliachana nayo.
Real Madrid ukingia YouTube wewe andika real madrid in church wana tabia zao wakishinda kombe lao wote wana kwenda kanisani kutowa shukrani zao sio Mkristo au muislamu.
Kwa hiyo Ukristo ni imani yenye nguvu saana na yanga na washauri hivyo.