Yanga: Mkutano na wanahabari tarehe 17.07.2024

Agenda kuu ni kuhusu safari ya yanga kwenda sauzi na utambulisho wa jezi watatangaza utakuwa lini
 
Hakuna mgogoro Yanga.

Mbumbumbu mmejaa kwenye 18.
Yaani hata mnashindwa kutegua hii code.

Na me nitaawacha sitamwambia, Wacha mfurahi usiku huu tu
Pambana na wazeee wa team huko, hakuna wasiouhisoka kwenye sakata lenu.

Umevurugwaaaaaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaah mtani me Nina furaha sana

Mtego umenasa.

Tarehe 8 sio mbali
Kwambaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Afu mbona hakna aliye buzzy na case uchwara yenu, watu wako buzzy na pre season, hizi njegeka ni huko huko Kidimbwi FC.
LOL
 
My dear kuna vItu vingine vinashangaza sana yaani.
 
Hakuna mgogoro Yanga.

Mbumbumbu mmejaa kwenye 18.
Yaani hata mnashindwa kutegua hii code.

Na me nitaawacha sitamwambia, Wacha mfurahi usiku huu tu
Hakuna mgogoro wakati kuna kesi mahakamani na maamuzi yametoka?

Hapo suluhisho ni kukata rufaa tu, maamuzi ya mahakama yakishatoka hata kama ni batili yanaendelea kusimama mpaka yabadilishwe kwa rufaa.

Hivyo mpaka hapo kuna kazi ya kufanya.
 
Hukumu ya 2023, a year back, halafu linaletwa ombi la kukazia hukumu…so funny.
Kesi iliyosikilizwa upande mmoja bila ya kuwaita walalamikiwa. Full upwagu
RITA walishirikishwa kutoa ushahidi wao mkuu. Soma taarifa nzima
 
😅😅 Mbumbumbu mnazubaishwa
Tarehe 8 mtapigwa 8
Sio mbali fikiria sana hiyo game.
Achana na haya mambo
Kwani wachezaji na makocha wana kazi gani mpaka kila mtu aanze kuifikiria hiyo mechi.
 
Kuimba kupokezana, wakati Kilomoni analeta usumbufu kwa uongozi wa Simba Yanga walikuwa wanamuita shujaa hadi wakamkaribisha kwenye tafrija yao, sasa ni wakati Juma Magoma aalikwe kwenye Simba Day.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…